Mambo ya kuzingatia kabla ya kufungua facebook page.
Kabla hujaamua kuwa na facebook page ,kuna mambo ya muhimu ambayo unapaswa kujiuliza.Vijana wengi kwa sasa wanafungua facebook page lakini hawafahamu namna wanavyoweza kufaidika na facebook page hiyo,baadaye wana kata tamaa na kuziacha.Hivyo
Kama unandoto ya kuwa na facebook page maswali haya yanakusaidia ;
1.Kwa nini unahitaji facebook page?
Kila mtu huwa anawaza kitu chake,mwingine ni kwa ajili ya kutangaza bidhaa,au kuweka nyimbo zake?kila mtu huwa anasababu yake.Endapo kama una lengo maalumu ya kuwa na facebook page ni bora ukaacha tu.Ili mwisho wa aiku usije kujuta kwa fedha ulizotumia kuifungua.Usifungue kwa sababu umeona mtu fulani anayo,fahamu kuwa yeye ni yeye na wewe ni wewe.Tafuta daftrari na kalamu andika sababu kumi za kuhitaji facebook page,kama huna ni borq uache tu.
Hakuna maoni