Majuto 6 ambayo wanachuo wengi hujutia:OMBA USIWE MMOJA WAO.
Kama ulivyomsemo wa kuwa"Mwenzako akiwa ananyolewa zakwako tia maji".Kipindi hicho,nikiwa kama mwanafunzi wa semina iliyokuwa ikifundishwa whatsapp kwenye group la GOLDEN EDGES.Nilipata nafasi ya kukutana na kijana ambaye kwa namna moja au nyingine nilijifunza mengi kutoka kwake.
Ndipo siku,alinisaidia link ya grupu la watu au vijana wakihamasishana masuala ya chuoni.Nikajiunga,wakati huo mada ilikuwa ni majuto ambayo watu huyapata wanapomaliza chuoni.Inawezekana usiwe moja kati ya wahanga,lakini mwenzio au watu waliokuzunguka yakawafaa zaidi.Mafunzo au semina hiyo ilikuwa chini ya uangalizi wa ABEL NGALIJA.
Hivyo basi,nifuatilie mpaka mwisho ili wote,tufahamu ni majuto gani hayo:
1.NINGEJUA NINGESOMA KOZI ILE.
Kiukweli hapa,walizungumzia namna watu ambavyo baada ya chuo huwa wanajuta kusoma kozi walizozisomea kwani zingne hazijawasaidia,wamejikuta wakifanya vitu mbali na walivyovisomea.Huwezi kusema wewe ni mhandisi,lakini baada ya kumaliza masomo yako hakuna sehemu uliyoenda kuwekeza au kufanya kitu kutokana na ulichosomea.
Hii hufanya watu wajute,mbeleni wakati wangeweza kusomea vitu wanavyovipenda na wakaweza kufanya mambo makubwa katika jamii.
Kwenye kitabu cha SUCCESS TO LAST,mwandishi anazungumzia suala la kufanya jambo lile unalolipenda kwa moyo wote,kwani huko ndiko mafanikio yako yalipo.
Anasema kuwa,mara nyingi watu wanaofanya mambo yao kwa upendo na shauku kubwa,wana uwezo mkubwa wa kufanikiwa kuliko wale wanaofanya vitu kwa kulazimishwa.Pengine ni kozi ambayo haikuwa ya ndoto yako,mtu huyu akifeli au akianguka hutupa lawama kubwa kwa aliyemfanya akasomea kozi hiyo,ukilinganisha na watu waliosomea kozi wanazozipenda.
Wao hutumia juhudi kujifunza,na huelewa vitu kwa haraka,hiyo yote ni kwa sababu wanaziishi ndoto zao.Kuwa makini,hakikisha unachokisomea kina tija,lakini pia matokeo chanya kwenye maisha yako.
2.NINGEJUA NINGEHUDHURIA SEMINA NA MAKONGAMANO YALE KUNA WATU YAMEWASAIDIA.
Nukuu:
Asha anasema"Niliposikia yapo makongamano na semina mbalimbali sikutilia maanani,kiukweli nilijisemea kabisa hakuna lolote jipya huku,hawana la kuniambia,kumbe nilijidanganya leo kuna rafiki zangu wamefaidika na semina bwana"
Haya ni baadhi ya majuto ambayo watu huyapata.Mara zote huwa tunasubiri tuwe na kila fulani,kisha ndo ujifunze kukiendesha.Ni moja kati ya hali mbaya tuliyojiwekea.Mbali na elimu,tunayoipata darasani,ni vyema kama tutakuwa na mfumo imara wa kujifunza mambo mengine.
Hiyo yote ni kwa ajili ya kuhakikisha tunapata elimu ya vizazi vya baadaye na tuweze kuishi ndoto zetu.Kujifunza ni hitaji la msingi sana kwa mtu yoyote yule ambaye anataka mafanikio.
>Huwezi kusema unajua kuendesha gari,huku hujawahi kupitia mafunzo ya udereva.
>Huwezi kusema unajua kuendesha biashara,huku hujawahi kupata mafunzo ya ujasiriamali.
Fahamu kuwa,kesho yetu bado ni fumbo.Hivyo ni vyema kama tutakuwa na maandalizi ya kutosha kwa ajili ya kesho yetu.
3.NINGEJUA NINGEWEKA AKIBA.
Nukuu:
Kaka Elly alinambia"Abel,ningejua kwenye bumu langu,ningekuwa hata naweka akiba ya Tsh.Hamsini kwa kila bumu,zingenisaidia,nngeanzisha hata kibiashara kidogo ila sikuweka chochote".
Wanafunzi wengi wa vyuo wanasifika sana kwa kufanya starehe zilizopindukia pasipo kuweka akiba.Wanasahau kabisa kuwa kuna maisha,baada ya chuo na suala la ajira limekuwa changamoto,hivyo badala ya kuanza kuombaomba mtaji kwa watu au kutafuta kazi,akiba yao inaweza ikawa chanzo kikubwa cha mtaji.
Chukua hatua leo hata kama ni kweli kipato hakikidhi mahitaji.
HITIMISHO:
Suala la kuweka akiba,linahitaji mda na uwezo wa kujijengea nidhamu binafsi.Huwezi kuibuka tu leo,na kuanza kuweka akiba ukifanya hivyo utajikuta umemaliza fedha zote.Ni uwezo wa kuwa mvumilivu.
Mtu kujijengea akiba au nidhamu ya akiba,inaweza kuchukua wiki 52,huku akipambana na changamoto mbalimbali ili aweze kuwa na nidhamu binafsi.
Moja kati ya njia pendwa,ya kuhifadhi hela inaitwa 50!30!20 rule,ambayo yenyewe pia ipo kwenye baadhi ya post zangu.
4.NINGEJUA NINGETENGENEZA MTANDAO WA WATU WENYE TIJA.
Nukuu:
Dada Hadija alinambia"Moja kati ya vitu ninavyojutia nilipokuwa chuoni,sikutengeneza mtandao utakaonisaidia baada ya kuhitimu"
Watu wengi wanapokuwa vyuoni hugeuka visima,hujiona kuwa wana kila kitu,hivyo hawawahitaji wengine.Jitahidi sana unapokuwa chuo,utengeneze mtandao wenye tija.Wanafunzi mnaosoma nao kozi moja ,mnaonesha vipaji n.k tengeneza nao mahusiano mazuri,mahusaiano hayo yatakuja kukusaidia baadaye.
HITIMISHO:
>Watu wengi hufikiri labda,kujuana na watu zaidi inakubidi uwe na kipato cha hali ya juu kitu ambacho ni uongo.
>Na wengine huona mtu akiwa anafanya kitu fulani,pengine kufanya biashara,kuhudhuria semina huamini labda,watu hao tayari wameshafanikiwa bila kujua ni baadhi ya hali,huwafanya kuwa hivyo.Pambania kile unachokiamini.
5.NATAMANI NINGEISHI MAISHA YANGU.
Nukuu:
Adolph anasema"Bro niliiga sana,sikuishi uhalisia wangu nilijifananisha na kutaka kushindana na wengine wanaonizidi kipato,mwisho wake nmetoka chuo bila chochote"
Glory pia anasema"Dah!pengine nisingeathirika na ugonjwa wa UKIMWI kama ningerizika na maisha yanguu.Tamaa yangu ya kumilki nguo za gharama,marashi na simu ili nilingane na rafiki zangu imeniponza ,ilinibidi kuuza mwili wangu ili nivipate vyote hivi,waambie wadada wenzangu waishi maisha yao"
Humphrey kijana aliyesoma uhandisi na kupata matokeo makubwa,lakini sASA NI MRAHIBU WA MADAWA ya kulevya a.k.a teja alinambia"kampani,kampani mbaya sana mwanangu,niliwafuata sana marafiki mwisho nmeishia kuwa teja,siwezi kuishi bila madawa,pombe wala bangi,kuna wakati akili huwa zinanirudi natamani niwe kama zamani nitimize ndoto zangu,ila ndo basi siwezi tena"
Ni baadhi ya maneno ambayo,vijana wenzetu wameyaongelea kutushauri na sisi wengine.
Hitimisho:
Suala la kuishi maisha yako linawezekana kama,endapo utakubali hali uliYONAYO.Mara zote ukisahau ni wapi umetoka,utasahau ni wapi unaenda"
6.NINGEJUA NINGEKIFANYIA KAZI KIPAJI CHANGU.
Nukuu:
"Abel,mim ni mchoraji mzuri sana ila sikukifanyia kazi kipaji changunikiwa chuo naumia san kuona leo hii kuna watu waliokuwa nawazidi uwezo wamefika mbali alinambia maneno hayo rafiki yangu matata?
Mimi ni mwimbaji nmemaliza chuo mwaka juzi ila napata nguvu sana kupata firsa kule hayo alisema Queen Rozy
Nilikuwa na uhakika na ajia,ingawaje aligindua mambo mambo siyo yalivyo,nawashauri waliopo bado chuoni wasome kwa bidii,wajifunze vitu vingine nje ya elimu ya darasani lakini pia tuvigundue vipaji vyetu"daktari Hussein.
chukus hatua kuyaepuka kwa wakati huu ukiwa chuoni.
HITIMISHO
Suala la kipaji huwa ni jema,endapo ukifahamu mapema,kuwa una kipaji gani,la sivyo utashindwa cha kufanya.
>ulishawahi kujiuliza pengine una kipaji?na kinaweza kuwa mlango wa mafanikio yako.
Usisahau pia kusoma kitabu cha KIPAJI KILETACHO MAFANIKIO,kipo kwenye mfumo wa nakala laini au softcopy na ktatolewsa tarehe za hivi karibuni.Nakala laini znapatikana kwa Tsh 3000 pekee,namba ya malipo kama ilivyyo ni 0746650818~UPENDO ERNEST.
Ukipata mda wa kusoma,usisahau kushare na marafiki zako,pia acha maoni yako na ikiwa kuna jambo la kuongezea. na uhakika na ajira kwa kuwa nilikuwa na uhakika na ajira

Vema sana Dada angu
JibuFuta