Header Ads

Header ADS

Namna rahisi ya kutengeneza CV yako.

1.Utangulizi.
Pengine ulkuwa unasumbuka kupata namna rahisi unayoweza kuitengeneza CV yako, basi leo upo eneo sahihi jaribu na wewe uone maajabu.

Hapa natumia mfano sahihi ambao nmejaribu kutengeneza na mimi mwenyewe, ila usiandke taarifa kama zangu.

Itachukua kama dakika 15 au 30 ,kutegemeana na ukubwa wa taarifa unaouandika
Cha muhimu kumbuka kuwa unaomba kazi hivyo basi taarifa zako zinapaswa kuandika kwa ukubwa zaidi , na pia ni ushindani.

Bila kupoteza mda nianze.
2. Tembelea blog inayoitwa My Professional CV.
Link ya blog hii ni https://myprofessionalcvbuilder.blogspot.com
Baada ya kuandika link hio kwenye google yako itakupeleka moja kwa moja kwenye blog yenyewe.

Utabonyeza sehemu pameandikwa "Web Version"

3.Nenda sehemu palipoandikwa CV form.
Baada ya kuingia kwenye menu kuu nenda moja kwa moja sehemu palipoandikwa CV form kisha bonyeza

Ukibonyeza utaletewa link na mfumo huo utakayoitumia kutengeneza CV yako.Ikopi hio link pembeni .

4.Anza kujaza taarifa zako za msingi.
Link hiyo ukishaikopi na kuiandika google itakupeleka sehemu ya kuandika CV yako.
Jaza taarifa za muhimu za CV yako.Ikiwemo majina yako,jinsia ,email yako,makazi yako,mkoa,namba ya simu, posta namba ya sehemu unayokaa, lugha na mengine mengi.

5.My products. Utafika sehemu ya products au bidhaa ,hapo utakuta pameandikwa CV downloader itakuwezesha kuipata CV yako kwenye email yako.
Utalipia shilingi 0.99$ sawa na shilingi 2000 na kitu za kitanzania,kupitia visa card yako au mastercard yako na njia zingine.

Baada ya kulipia utaletewa ujumbe wa hongera kwa kuandika taarifa zako za msingi.
5.Baada ya dakika mbili au tatu utatumiwa ujumbe kwenye email yako wenye CV yako ,wenye file la pdf hvyo unaweza kumtumia mtu wa stationary CV yako akutolee au ukaupata kwa njia ya file la pdf lililopo hapo.

Ukipata shida unaweza kutuma ujumbe kwenye email myprofessionalcvbuilder@gmail.com na utatatuliwa shida yako ndani ya masaa 24.

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.