Header Ads

Header ADS

Makampuni 5 unayoweza kutangaza bidhaa zao na ukalipwa.

Pengine na wewe ni blogger ,lakini imekuwa ni vigumu kwako kupata approved na google adsense ,kuna njia nyingine na kuingiza pesa online nayo ni kupitia affiliate program and marketing.

Affiliate marketing ni kutangaza biashara za watu au kampuni na wenyewe wakakulipa kwa watu wataotumia huduma yao kupitia wewe.Sio lazima uwe na website(tovuti) ,blog,ila pia unaweza kutumia mitandao yako ya kijamii kama facebook au ukurasa wako wa facebook. Kila kampuni lina vigezo na masharti yake. Kwa kusambaza link zao basi unaouwezo wa kutengeneza fedha online.
Nawezaje kujiunga na affliate program?

Ni rahisi kwa makampuni haya ya mwanzoni nitakayo share na wewe,unaweza kuanza nayo taratibu kila siku.Mfumo wao wa malipo ni kupitia unalipwa baada ya mwezi,na vigezo unapaswa kuwa na akaunti ya Skrill, au stripe au union pay na nyingine visa. Na sio lazima ujaze taarifa za malipo awali,unaweza kuzijaza baadaye,huku ukiendelea kusambaza link zao.
​Ukiingia kwenye moja ya kampuni nililoliandika,utashuka chini hadi sehemu pa affiliate program ,kisha utaambiwa u join au ujiunge na affiliate program,na unaweza kusambaza link maeneo mbalimbali,mara nyingi huchukua siku moja hadi tatu kukubaliwa kusambaza link kwenye haya makampuni nitakayo kutajia. Mengine huchukua hadi wiki moja,hadi mbili. Kama na wewe ni mgeni ,mimi nitakuwa mwenyeji wako nina uzoefu wa miezi miwili sasa.

1.Amazon associate program.
​Amazon ni kampuni kubwa,hivyo watu na makampuni mengine hutangaza biashara zao huko.ILi kufikia watu wengi huweka kiwango cha fedha ili kwa yeyote atakaye tangaza biashara zao watalipwa. Amazon haichuki hata siku au wiki ili ukubaliwe kutangaza matangazo yao.Baada ya kujiunga na affiliate program yao,watakuruhusu mda huo huo kuanza kutangaza kazi na bidhaa zao.

2.Netflix.
Wengi huwa tunafahamu kuwa netfilx ni kampuni ambayo huwa wanawapa watu fursa kutangaza muvi zao. Lakini pia kwa kuitangaza kampuni hii unaweza kujiingizia fedha ,sio lazima uwe tajiri lakini una walau kitu kidogo.Netfilx yenyewe haichukui mwezi au siku ila ni baada ya kujisajili tu ,unaanza kuitangaza. Wengine huchelewa kutokana na aina ya mitandao na vitu vingine,lakini ni lazima waipitie tovuti au blog yako ili waone kama kweli unaweza kutangaza bidhaa zao.
3.SSLs.

​Hii kampuni inajihusisha sana sana na kutoa huduma wa ulinzi wa kimtandao kwa wamiliki wa website au blog. Kama ulishawahi kuwa shuhuda kuna baadhi ya tovuti ukiingia kwenye simu au laptop yako wakakuambia haipo secured au haifahi kuifungua .Kwamba pengine imeharibiwa na watu.Hivyo kampuni hii huwapa watu fursa za kulinda tovuti zao wenyewe. Kampuni hii huchukua siku moja hadi ukubaliwe kujiunga. 4.1xbet.

Kwa wale watu wanaobet basi hii tovuti sio mara ya kwanza kukutana nayo.Lakini na yenyewe hulipa watu wanaoitangaza. Yenyewe huchukua saa 24 kukubaliwa kusambaza link au matangazo yao.Huna haja ya kuhofu kabisa. Malipo ya 1xbet hupokelewa kwa watu wenye akaunti ya skrill.
5. Music.
Makampuni haya ya mziki au apps za miziki hulipa watu.Mfano shopify,prime video,spotify,amazon na mengineyo. Hivyo kwa wanaotangaza miziki kutoka kwenye makampuni haya hulipwa. Hapa baada ya kujiunga inachukua saa 24 kukubaliwa.
Unaweza kusambaza na wewe link zao ,nilizoshare na wewe maeneo mbalimbali.Ikiwa unatumia mitandao ya kijamii hakikisha hujazi sehemu pa website ila unabonyeza sehemu pa social media. Leo nimeamua ku share na wewe haya.Nikipata makampuni mengine mazuri,nishare na wewe na wewe usiache kuwajuza wenzio.

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.