Kanuni 3 za kupata fedha:Anza nazo.
Hili ni moja kati ya somo lililofundishwa na Mkali Antidius.
Habari,rafiki yangu kila siku iendayo kwa Mungu harakati za kutafuta na kumiliki fedha zimekuwa ndiyo jukumu la msingi sana kwa baadhi ya watu wanaojua ni nini wanataka na nini hawataki kwenye hii dunia.
Pamoja na juhudi hizo kuna wengine wameishia kukosa mbinu mahsusi za kuwafanya waweze kupata na kumiliki fedha kama na wewe ni miongoni mwa hao usitie shaka.
Tunaangazia njia tatu za muhimu za kutufanya tupate fedha na kuzimiliki:
1.KUOMBA.
Rafiki yangu,mtu yeyote anayehitaji kumiliki fedha ni lazima achukue hatua kadhaa ambazo ni vyema ukafahamu kuwa kuna tofauti kubwa kati ya kuomba na kuomba-omba.
Kuomba ni njia ya kutaka jambo kutoka kwa wenye mafanikio ya jambo hilo,na kisha wao kukupatia ama kutokukupatia,na jambo hilo linaweza kuwa maarifa ama usaidizi wa jambo husika sasa hapo ukikaa kuimya utakufa maskini.
Kuomba-omba ni kitendo unachokifanya kwa kuhitaji jambo kutoka kwa watu hata wasio na mafanikio ya jambo hilo, kwa lugha nyepesi unacheza Kamari ya maisha maana unaweza kumuomba hitaji Fulani na wakati huohuo unayemuomba naye ana uhitaji wa jambo hilo kwa ufupi utaambulia matusi
. Mifano ya watu waliotumia mbinu hii kufanikiwa ni pamoja na:
i.
Donald Trump,yeye alimuomba Baba yake mtaji wa kibiashara,na Baba yake alimpatia na kutoka hapo amekuwa ni mtu mwenye mafanikio makubwa duniani kwa kupitia njia ya kuomba tu.
ii.
Mwanzilishi wa facebook.
Yeye alipopata wazo la kuunda mtandao wa kijamii alimtafuta kijana mwenye nafasi nzuri ya kipato na kumuomba amsaidie fedha zitakazosaidia kuanzisha mtandao huo ama ,kuendeleza wazo lao na bila hiyana Kijana huyo baada ya kutafakari na kuona manufaa ya mbeleni alikubali kutoa usaidizi wa kifedha na mara moja mtandao huo ulianza bila tatizo.
2.KUTAFUTA.
Rafiki yangu,kutafuta ni njia ya pili ya kupata na kumiliki fedha.
Mfano,umetumia njia ya kwanza kisha ukapata fedha unapaswa kuchukua hatua ya kuanza kutafuta kwakua kinachofuatwa hakijulikani kilipo.Sasa anza kuzitafuta fedha mahali zilipo ama zinakopatikana na kamwe hata siku moja usitafute pesa kwa watu unaofanana nao kiuchumi kwani kila ukienda kutafuta fedha kwa hao utaambiwa SINA.
Ni vyema kuzitafuta mahali zilipo na hakika ukitafuta bila kuchoka utazipata ziwe zako.
3.KUBISHA/KUULIZA.
Rafiki yangu,kwenye ulimwengu wa leo kila jambo limerahisishwa sana hata ukitaka kufahamu njia anuai za kupata fedha,jifunze kuuliza ama kubisha mlango ufunguliwe ili nawe uwe na nafasi ya kuingia ndani ili kuchukua na kumiliki fedha.
Kwa hiyo,tujifunze kuuliza juu ya mambo ya fedha nawe utapata majawabu ya kurithisha na ya kukufanya upige hatua ya juu Zaidi kifedha.
La mwisho,tuwe tayari kukipokea kitabu chetu KIPAJI KILETACHO MAFANIKIO,unaweza ukawa wa kwanza kuweka oda ya kitabu kabla hakijatoka.

Hakuna maoni