Header Ads

Header ADS

Zigundue mbinu ambazo kipaji chako kinaweza kuwa chenye mafanikio

Inaweza ukawa una kipaji,ila kilishapotea kutokana na mazingira.Au pengine bado hujagundua kipaji chako,na unahitaji kujiendeleza ili kikuletee manufaa.Basi huku ndio penyewe.
I.Gundua kipaji chako.

Neno kipaji wengi huwa tunaamini labda ni kuwa mwanamziki,au mchoraji.Lakini KIPAJI,ni ule uwezo wa kufanya jambo Fulani katika eneo Fulani.Hicho ndio kipaji.
Kipaji unaweza ukawa umezaliwa nacho au labda umejifunza kutoka eneo Fulani. Kwa hiyo,ili uweze kugundua kipaji ulichonacho,basi Anza hivi:

A.Jiulize mwenyewe.
Ili uweze kugundua kipaji kilichopo ndani yako ,anza kwa kujiuliza wewe mwenyewe,ni nini unapenda?Nenda kwenye eneo tulivu ,kisha jiulize maswali yafuatayo:
*Je lengo langu mimi ni nini?
*Je ni jambo gani huwa napenda kulifanya bila hata kulipwa?jambo mara zote unahisi kulifanya.
*Je ni jambo gani huwa nafurahia na kupata msukumo wa ndani ninapolifanya?

B.Wazazi.
Mara nyingi vipaji tulivyonavyo hutokana na vitu tulivyofanya kipindi cha nyuma,hivyo wazazi wetu huelewa ni nini haswa tulikuwa tunapenda kipindi tupo wadogo?
Hivyo vyote vinapatikana kwenye kitabu kiitwacho KIPAJI KILETACHO MAFANIKIO,kuwa wa kwanza kusoma ebook1 ya kitabu hiki,kupitia:
*Amazon.com
*https://www.getvalue.co/prod/kipaji-kiletacho-mafanikio

Maoni 1 :

Inaendeshwa na Blogger.