Header Ads

Header ADS

Hivi ni kweli naweza kujiingizia kipato kupitia blog bla Google Adsense?

Ni kweli kuwa unaweza kuingiza fedha au kujiingizia kipato bila kuwa na Google Adsense.Narudia tena ni ukweli.
Baada ya kumaliza masomo ya advance nilizindua kitabu changu cha pili kiitwacho OPEN THE DOORS OF SUCCESS IN YOUR ACADEMICS. Lakini ndoto zangu zilikuwa ni kuwa mwandishi mkubwa wa vitabu.

Nikaanza kuzunguka mitandao ya kijamii niwe na namba za waandishi wengine wa vitabu,ili nijifunze mengi.Nilikutana na Daudi Lubeleje ambaye alikuwa anatoa mafunzo ya uandishi wa vitabu kwa gharama ya shilingi 18,000.

Kipindi hicho sina hata hela,niliongea nae nkamwomba walau niwe na mimi najifunza,Akanikubalia.
Kwenye kozi aliongelea kuwa mwandishi bora wa vitabu unahitaji kuwa na BLOG.Ndo kwanza sijui,alinifundisha juu ya blog nikaelewa hadi nkafungua yangu. Upendokitundu Nkaiunganisha blog yangu na adsense ila ndo kama ilvyokawaida hawakubali lugha ya kiswahili.
mwanzoni nlikuwa nauza vitabu vyangu nlkuwa napata fedha,kwani post zangu nlkuwa naziweka kwenye whatsapp group langu.

IMG_20230209_083132.jpg
Nimejifunza mengi mno kuhusu BLOG,ikiwa una blog ya kiswahili na unawaza uachane kufanya blog nakuhakikishia usifute.Bado kuna njia nyingi mno za kujiingizia kipato kupitia blog.
Nmchukulie mfano mwalimu wangu Daudi Lubeleje ,yeye hana Adsense hivyo anafundisha watu kozi na anajiingizia kipato. Ushauri wa bure kuna hiki kitabu kinaitwa HOW TO BECOME SUCCESSFUL BLOGGER WITHOUT GOOGLE ADSENSE.Usikikose.
1.jpg Ukikwama mahali usiache kunambia,kuna email yangu ndani ya hicho kitabu.Hicho kitabu kinapatikana kupitia link hii GetValue, Inc | A Global Online Digital Information Products Retailer https://www.getvalue.co/prod/how_to_become_successful_blogger_without_google_adsense Ikiwa kweli upo serious na unahitaji kujiingizia kipato hicho kitabu kisome walau chukua siku 10 hadi 15 kukiosma.
Unaweza pia kunitafuta kupitia email yangu nyingine: upendokitundu24@gmail.com Nitakusaidia kwa moyo kama nilivyosaidiwa. Chagua kuongeza maarifa au kubaki ulivyo.

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.