Tabia 6 za buibui zinazotofautisha kati ya maskini mchapakazi na tajiri mchapakazi:Fanyia kazi mbinu hizi zitakazokuwezesha kufikia malengo yako.
Tabia 6 za buibui zinazotofautisha kati ya maskini na tajiri:Fanyia kazi mbinu hizi zitakazokuwezesha kufikia malengo yako.
Yaliyomo:
>Tafakuri >Utangulizi >Tofauti kati ya maskini na tajiri,kutumia tabia za buibui. >Tafakuri.
Maskini hufanya kazi kila siku.Lakini ni ipi tofauti kati ya maskini na tajiri anayefanya kazi? >Utangulizi.
Ukweli ni kwamba hela zipo.Zipo kila mahali. Serikali ina hela,benki zina hela,shule zina hela,migawaha ina hela.
Una hela,marafiki zako wana hela.Tajiri ana hela,maskini ana hela.Hela zipo kila mahali zinazunguka,muda wote masaa 24 kwa siku na siku 365.
Swali la kujiuliza:
Ni ipi tofauti kati ya maskini,mtu mpambanaji na tajiri anayefanya kazi? Utando wa buibui kipindi cha kiangazi huonekana vizuri,lakini ule utando huwa una vitu vya kushangaza. Chukulia mfano:Unaposhika utando wa buibui,huwa utando unatoa taarifa kwa buibui kuhusu uvamizi.Yaani kuna kitu cha tofauti kimegusa huo utando.
Pia ule utando ukiwa umeukamata,ni kama kuna nguvu Fulani kwenye utando wa buibui.
Tofauti kati ya maskini na tajiri:
1.Uwezo wa kuzikamata hela(wadudu).
Maskini,na watu wanaofanya kazi(wapambanaji) huwekeza muda wao wa kazi ili kuzipata fedha au hela wakati tajiri huwekeza muda huo huo wa kazi,kujenga mali itakayowasaidia kutengeneza hela kwa ajili yao. Kutoka kwenye kitabu cha RICH DAD POOR DAD,Mwandishi anaelezea namna tajiri anavyohakikisha ana mali nyingi au vitu vitakavyomsaidia kuongeza kipato chake.
Huku maskini yeye,huwa na madeni kuliko vyanzo vitakavyomsaidia kuingiza kipato.
Hivyo,buibui yeye huwa hafanyi kazi kwa bidii akipambana kukimbiza wadudu kama inzi,ili aweze kuishi.
Badala yake,buibui hufanya kazi kubwa kutengeneza utando utakaomsaidia kudaka wadudu,kwa ajili yao.
Hio inaitwa mali.Hufanya kazi masaa 24,siku 7 kukamata hela,huku buibui akiwa amelala.
Umejifunza kitu. Shule ni vigumu kufundishwa haya.Huwa tunafundishwa namna ya kufanya kazi kwa ajili ya fedha,bila kufahamu namna hela inavyoweza kufanya kazi kwa ajili yetu.
Huo ni mtego.Hivyo tunashauriwa mbali na kusoma au kazi utazozifanya tuhakikishe tuna njia nyingine ya kutuingizia kipato.Tunapaswa kuwa wajasiriamali.
2.Huwavuta(kuwavutia)watu.
Buibui wenyewe hujenga utando wao,kisha wanaangalia kuona ni nini kitatokea. Hata na hvyo,buibui huonekana mbali na sehemu zao zenye utando.Hutengeneza utando ili kuwavutia wadudu. Hivi ndivyo,tunapaswa kufikiria kwa umakini,ni aina gani ya mali tunayoweza kuitengeneza na ikawavutia watu?.
3.Buibui huwa wana uwezo mzuri wa kubuni.
Ukweli ni kuwa baadhi ya utando huo ina utata. Baadhi ya watu hufikiri kuwa kila utando wa buibui huwa unafanya kazi lakini sio.
Kuna baadhi ya jamii za buibui huweza kubuni utando mzuri,utakaoweza kuwavutia wadudu wengi. Fikiria,namna unavyoweza kufanya ubunifu.Mara nyingi huwa tunaona kuna ushindani mkubwa kwenye kila tunachokifanya.
Lakini ukiangalia kwa umakini namna unavyoweza kufanya ubunifu,ndivyo utakavyozidi kupata watu wengi kwenye kazi yako. Tafakari aina gani ya ubunifu itakayokuwezesha kufikia ndoto au malengo yako.
4.Buibui huwa na mawazo makubwa.
Ukitazama saizi ya utando wa buibui huwa imetengenezwa. Utafiti huonesha kuwa buibui hukamata wadudu wawili au Zaidi kwa siku.Basi akiwa na utando mkubwa anapata wadudu wengi Zaidi. Suala la kutafakari,ni aina gani ya mbinu tutakayoweza kuitumia kupata watu wako au hao wadudu
5.Buibui hufanya mambo yao kimya kimya.
Kutengeneza utando wa buibui.Yaani kufanya utando wa buibui uwe wa kuvutia ,n jambo linaloweza kumweka buibui hatarini. Kwani na yeye,ana baadhi ya viumbe vinavyomuwinda.
Ndio maana,huwezi kuta hata siku moja buibui akitengeneza utando wake.Hufanya mambo yake kimya kimya wakati wengine wamezubaa. Huweza kutengeneza utandu wake,ikiwa viumbe wengine hawafahamu.
Baadhi ya mambo,ili tuweze kuyakamilisha tunapaswa tuwe wakimya kwani,kuna baadhi ya watu wanatuwinda na hawapendi kuona mafanikio yetu. Kuna mambo mengine tunashindwa kuyafanya sababu tumefikisha ujumbe kwa watu,huku hakuna lolote tulilofanya.Tujifunza kuwa wakimya.
6.Buibui hubadilisha utando wake kila siku.
Utando mkubwa huwagharimu buibui kuutengeneza.
Buibui huja na namna mpya ya kufanya utando wake uwe mkubwa Zaidi na uweze kuvuta viumbe wengi Zaidi. Jambo lolote tunalolifanya,inapaswa tuje na namna mpya ya kulifanya jambo hilo. Mbinu moja kila siku,hufanya watu kuchoka huduma yako kwa haraka Zaidi. Je,umelipenda somo? Usiache ku comment.Lakini pia nafasi zipo kwa ajili ya darasa la uchambuzi wa vitabu usikose.

Hakuna maoni